top of page
  • White Facebook Icon
  • White Twitter Icon
  • White YouTube Icon
  • White Instagram Icon

KUHUSU UUYK FORUM

Uso Kwa Uso Na Yesu Kristo Hii ni huduma inayojihusisha na mafundisho mbalimbali, Kuhusu Habari Njema ya Yesu Kristo, Huduma hii haiangalii dini bali inasimamia kuujua wokovu wa kweli na Kumfuata YESU KRISTO.,

Uso Kwa Uso Na Yesu Kristo ni huduma inayosimamiwa na Noel Isaya Mwakibete Ambaye ndiye pia mwanzili wa Forum hii, Lengo kubwa ni kuweza kuwasogeza wapendwa wote pamoja kwa ajili ya kujulishana habari juu ya uzima wa milele, pia malengo makubwa ya Huduma hii ni kuweza kuipanua zaidi hata kuweza kujihusisha na huduma za kijamii ili kuweza kuhubiri habari ya wokovu katika roho na mwili pia.

Ushirikiano wako ndio tunautegemea zaidi ili kuweza kufikia malengo na mikakati mikubwa iliopo mbele yetu, Msaada wako wa Hali na mali unahitajika sana ili kuweza kuiendeleza hii huduma iweze kusonga mbele. Unaweza kupata mawasiliano ya Moja kwa moja kwa kubonyeza Mawasiliano na ukatoa hoja,maoni na ushauri hata mchango wako wowote ili kuzidi kufanikisha huduma hii.

© 2017 by Uso Kwa Uso Na Yesu Kristo.

© Copyright
bottom of page